Lumen Radio Karatu

Жанр: gospel
Страна:

Регион: Аруша
Адрес: | lumen radio karatu P.O.Box 10005 Arusha |
Телефон: | +255762730660 |
Сайт: | radiolumenkaratu.radiostream321.com |
Email: | [email protected] |
WhatsApp: | +255627003137 |
Radio ± 255 76-273-0660
+255 766 080 883
Televisheni
+255 754307959
Lumen Radio ni Redio ya Kikristo inayotangaza Kupitia Masafa Ya Fm 91.7 Mhz toka Wilaya ya Karatu jijini Arusha Tanzania Ukanda Wa Bonde La Ufa Kwenye Jamii Ya Wahadzabe Wadatoga Waberbeig Wambulu Wamaasai Na Makabila Mchanganyiko Katika Ukanda Wa Bonde La ufa "Hii Ni Nuru ya Ulimwengu" Lumen Radio Ni Redio Ya Kikristo Isiyo Fungamana Na Dhehebu Lolote , Lengo la Redio Hii ni Kuhabarisha Kuburudisha Kuelimisha Na kuibadili Jamii Katika Mrengo Unaompendeza Yesu Kristo