Neno La Ushindi


Жанр: christiangospel

Страна: tz Танзания
Регион: Дар-эс-Салам
Адрес: Mbezi makabe
Телефон: +255712614228
Сайт:
WhatsApp: +255712614228
Instagram: @victoraronoficial
Youtube: @victoraron6096

Neno la Ushindi ni huduma inayokusudia kuwafundisha watu wote kuhusu kweli ya Neno la Mungu.Kushibishwa kiroho na kuwa na faraja katika Kristo kupitia maombi na maombezi, tukidumisha upendo wa Kristo, imani na kufanywa Upya kila siku. Jiunge nasi katika safari ya kiroho na uone badiliko katika maisha yako!